Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,011
- 150,545
HupokeiiiHivyo hivyo
HupokeiiiHivyo hivyo
Binamu nitumie picha ukiwa unakula samaki
Msafi! Aaah acheni masihara basi
Ndo umekuja kunidaia hukuNaomba hela yangu we mama mpandishwa vyeo
[emoji120][emoji120][emoji120]...hapana, siumiii binamu nakusalimia na mimi
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Hahahahaha sitekwagi mimi jamani
Niko salama kabisaMarhaba dada ake,, upo salama huko?
Mama wawiliiiMfyuuuuu
Uko poa ?Hivyo hivyo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Woyooooooo
Nani kanunaaaaa nauliza nani kanunaaaaa watakuwa wa browser
Hivi pole ilikuwa ya nini etiPole dada
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wooyoooooooooooooooooooooooo.
Naaaaaaammmmmmm Sakayo a.k.a mama mchungaji, a.k.a mpendwa, a.k.a mama Na, a.k.a mama nanliu
MmmhhhHahahaa...
Mama Nah wangu..!
AbeeeeHahahahaha sakayo bwana
Mimi huyooo...Si ndio alivokua anasema kipindi kile anajiunga eti sakayo ni kadada kafupi afu kazuri (refer Zakayo bible character) nikashikiria hapohapo.
Au nimekosea
Mkaamua kunidisikasiNi mfupi eenh
Siku utayonikuta mbinguni mtefu kuliko Hasheem sijui utarudi dunianiiiSakayo mdada mfupi...
Haha.....nikimshusha mshipa nampa na kesi ya uhujumu uchumi tuone kama plea bargain itamsaidia maana msamaha umefungwa tayari