Makapuku Forum

Makapuku Forum

Happy furahiday Makapuku wote. Ndugu yenu niko mahali wanauza imported beer ambazo zitaexpire ndani ya wiki. Yaani sio mambo ya buckets bali jacuzzi kabisa. Elfu 20 unapata crate zima na icecubes wanakuletea. Nafanya kunywa kabla ya tarehe ya mwisho

Binamu fanya kunitumia na mimi [emoji1787] tunywe wote zilizoexpire
 
Back
Top Bottom