Makapuku Forum

Baba wawili hiyo avatar naipendaga mm nikimuona huyo mdada najiona mm yaan mm kabisa nimemfanania
Jaman mara ya pili hii unaipenda hii avatar,kumbe umefanana naye...nawe wapenda kudeka kama yeye pia sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…