Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,320
- 35,823
Mjombaaa
...binamu salama sana, na ninakusalimia tu. kuhusu zile hela bado hazijatoka zote, bunge liliingiliwa kidogo na masuala ya disappear and died. Wakimaliza kukanusha tutalipwa full full
Mjombaaa
Hahaha sawa binamu,wasiwasi wangu nilidhani Sepenga kapita nazo tayali...binamu salama sana, na ninakusalimia tu. kuhusu zile hela bado hazijatoka zote, bunge liliingiliwa kidogo na masuala ya disappear and died. Wakimaliza kukanusha tutalipwa full full
Naye ametekwa baba wawili yaani humu wote mlitekwaHahah tumeanza kuachiwa mmoja mmoja,namtafuta dada angu,simuoni
Kweli baba wawiliHahaha umenichekesha ase,et kila siku upo na je wajua ya kwako peke yako
Sijambo mm habari yakoBosiiiiiiii nakusalimiaa mimi
Wawili wamembana shunieNaye ametekwa baba wawili yaani humu wote mlitekwa
Acha kumtetea Dada yako baba wawiliWawili wamembana shunie
Hahah na huo ndio ukweli shunie,,Acha kumtetea Dada yako baba wawili
Inaendelea vizuri baba wawili sijui upande wakoHahah na huo ndio ukweli shunie,,
Vipi lakini?weekend inaendeleaje huko?
Iko poa pia shunie,Mungu ni mwemaInaendelea vizuri baba wawili sijui upande wako
Sijambo sana T Dada yupo dar ameingia mda huuSalama Shunie..
Hujambo ?
Ameen Baba wawiliIko poa pia shunie,Mungu ni mwema
Habari yako we mzeeWooooooooiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii