Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ndiooo ebhuuu nijibuu...nimekutumia picha zimegomaa
Umenitumia picha ili niteseke eti

Kuna siku sijui mwaka jana au juzi nipo na rafiki zangu tumetoka band mida ya saa tisa sijui saa kumi tulikua tunasikia njaa ndio kupitia apo kujua kuwa wanakesha
 
Umenitumia picha ili niteseke eti

Kuna siku sijui mwaka jana au juzi nipo na rafiki zangu tumetoka band mida ya saa tisa sijui saa kumi tulikua tunasikia njaa ndio kupitia apo kujua kuwa wanakesha
Rafiki wako wa kike au wa kiume ?
Saa tisa usku au mchana ?
Ulikuwaa ushapigaa yale mambo yetu au ?
 
Rafiki wako wa kike au wa kiume ?
Saa tisa usku au mchana ?
Ulikuwaa ushapigaa yale mambo yetu au ?
Hahaha wa kike bwana ebu mengine utaniuliza kule sasa saa tisa mchana na pale wapi na wapi na wakati wanaanza mambo zao usiku
 
Aisee
Screenshot_20190704-174732.jpeg
 
Back
Top Bottom