Makapuku Forum

Makapuku Forum

Unanimaliza wee penzi lako linimekolea Sijiwezi darling unayonipa sijazoea Sikuwachi honey penzi lako linimekolea Sijiwezi darling unayonipa sijazoea Sikuwachi honey nnapokuona mi nataka [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Ongeza manjonjo mi natakataa sitaki Mwengine we unanifaa tena kwa Mwengine mi sinoi unavyo touch touch Kiunoo [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] unaamsha amsha Yaliomo unavyo ngata yako midomoo Unanimalizaa unanimaliza wewe wewe Unanimaliza wewe [emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
 
Nimekupenda mwenyewe siii karibishi ya watu tumependana wenyewe [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna mtu akiona nipo kwenye mood hii ataniambia nimetumiwa muamala kumbe mapenzi tu jamani [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
 
.....mi nikajua labda umepata bwana mpya? Maana si kwa maneno mazuri mazuri haya aunt yangu
 
Unanimaliza wee penzi lako linimekolea Sijiwezi darling unayonipa sijazoea Sikuwachi honey penzi lako linimekolea Sijiwezi darling unayonipa sijazoea Sikuwachi honey nnapokuona mi nataka [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Duh aisee
 
Back
Top Bottom