Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Shem habari yakoAkudo- Safari sio kifo
Shem habari yakoAkudo- Safari sio kifo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ebu niacheUnalalajeee bwanaaaah muamala sijauona bosiiiiii
Picha ya nini sasa, maana hapa ni msuli wa kende ndo umepatwa na hitilafu, nilienda kucheza takolingi moja matata sana kumbe mwenyewe mimi pancha tupu.Binamu ebu weka picha kwanza
Ankoooo ebhuuu njooo usemee nenooo mojaaa.....mechi za maveterani wanaenda maveterani maana tukitoka hapo tunaenda kula bia, chapati 2 na supu.
Yeye hatumii, anasuburi nimletee kwa namna ya kujamiiana (socialize)
Anko, shwari lakini!?
Jina lako linanibeba sana anko, endelea hivyo hivyo.Ankooooooo hiviiiii siri ya mafanikioo ni nn
Jina lako linanibeba sana anko, endelea hivyo hivyo.
Nioneee shunieJina lako linanibeba sana anko, endelea hivyo hivyo.
[emoji23][emoji23][emoji23]pole binamuJ3 na week njema wadau wema wa jukwaa hili.
Kama kawaida ndugu yenu weekend nilienda kupiga soka la maveterani hapa Kgmbn, ila striker nikapata majeruhi ya msuli wa kende, niko natibiwa home, Asanteni kwa kutonipa pole
insta babe unataka kuona picha ya msuli wa kende au[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Binamu ebu weka picha kwanza
Ahhahah insta babe eenh ya msuli wa kendeinsta babe unataka kuona picha ya msuli wa kende au[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niko apa babeNioneee shunie
Hahhah linakubebaje binamuJina lako linanibeba sana anko, endelea hivyo hivyo.
Ya hizo kende bwana binamuPicha ya nini sasa, maana hapa ni msuli wa kende ndo umepatwa na hitilafu, nilienda kucheza takolingi moja matata sana kumbe mwenyewe mimi pancha tupu.
Ndo hivyo sasa, nitakaa nje ya uwanja wa nje kwa wiki hizi[emoji111] halafu nitarudi na kasi mpya.
Picha nitaweka, ngoja nikamtafute cameraman hapo center
Shem habari yako
Niko poa shem wangu mm hofu kwako tuNjema sana shemeji yangu wa nguvu uko powa
Niko poa shem wangu mm hofu kwako tu
Kweli kabisa shem wanguNashukuru shem wake mimi
Hakuna raha kama kufahamu kuwa unanijali shemeji yangu