Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ukidownload ukumbuke kuzisave tu usije ukatuletea kama ya dada ako tumosa leo anatuwekea wengine kesho kutwa anatuletea wengine

Kumbe watu tuna kumbukumbu zote

...sasa aunt ulitaka wabaki vile vile jameni, si wanakua kimo na mwili na inabidi wabadili nguo pia. Alishawadownload kitambo sasa wamekua, mimi mwenyewe wamekua hadi wananichanganya akiwaweka humu, hii ni hata kwa watoto wa ndugu na binamu yangu ningendako koko banga
 
Binamu tatizo sio kukua tatizo mpaka jinsia imebadilika

Eti kokobanga teh teh..
 
...sasa aunt ulitaka wabaki vile vile jameni, si wanakua kimo na mwili na inabidi wabadili nguo pia. Alishawadownload kitambo sasa wamekua, mimi mwenyewe wamekua hadi wananichanganya akiwaweka humu, hii ni hata kwa watoto wa ndugu na binamu yangu ningendako koko banga
Hahaha binamu mbona unaniponda tena,unang'ata na kupuliza
 
Mbona nilipo sikuoni mm

...@ningendako ni kweli aunt yangu hakuoni au kwa vile wiki la mshahara limeanza basi maringo utasema enzi zile tunauza korosho
giphy.gif
 
Back
Top Bottom