Mh binamu....nimekaribisha member wote humu kwenye sikukuu, hivi huu mwaliko ina maana haujawafikia? Mbona mnataka kunifanya misosi niliyoagiza kwa Mangesho ichache jameni?
Tunakujaje sasa haujatoa locationSalaam wapendwa huku bila shaka hamjambo nyote na familia zenyu [emoji52][emoji52]
Mi nawakaribisha sana nyote tulojaaliwa kuifikia Eid ya mwaka huu tukiwa wazima Eid mubarak nawapenda mimi [emoji173][emoji173]mje kwetu eenh..
View attachment 1117879
Ss mi nawaaga fikisheni salam
Aliamka na kupika hilo pilauUsiku mwema kesho uamke mapema utupikie pilau[emoji39][emoji23][emoji23]
Hahahaha joshySHUNIE na SAKAYO.
Nimewamisi watoto wazuri sababu mnanishawishi niliendelee kuwa hapa jf.
Asante baba wawili na kwako pia naona avatar ndio kanzu sent kitu kipya cha kuswaliaEid mubarak guys!!
Hiyo avatar sijui kwa nn sijaipenda woiiii ebu rudisha ya mwanzoAiseee
Habari za wewe apo eti
Nikumbushe hebu wewe ni nani tena
SAKAYO stop it.
Leo unaniuliza hivyo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha hahaha hahaha
Nikumbushe bana! Meshiba pilau la kudowea kumbukumbu sina
Sakayo unamsahau vipii joshy enzi zile makapuku yenyeweTwende MMU utanikumbuka tu. Hahahahah.
Au shunie akimaliza kupika muulize atakwambia.
Imfikie Lee popote alipo...nilikuwepo sana humu lakini sababu zilizo ndani ya uwezo wangu zilinifanya nisiweke muziki kama navyopenda na unajua kabisa kwa usawa huu hujali kama naweka muziki au siweki nami ni hivyo hivyo tu sijali unapenda au hupendi lakini kitu kimoja nakijua fika, yaani nina uhakika nacho ni kuwa wewe ni mtu mzuri sana, yaani wewe ni good people, unayelifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo.
Burudika na kama unaendelea kufunga 6 basi wewe pilau utakula wiki ijayo