Acha waambianeBasi tu. Unafiki nje nje humu
Anatafuta ngumi huyo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mimi sio Ke mimi dume na kipindi natimiza miaka 18 ndio tulipelekwa vita ya Kagera
Funga kabisaa kaka.Sawa brother nafunga domo![]()
![]()
![]()
![]()
Mkuu samahan lkn, mbona lugha za ukakasi sana ndgUmeshawahi kunyonyesha?
Ladies and Gentleman
Muwe na Usiku Mwema
Japo nina furaha ya Ubingwa
Viva Barcelona
Hahahaaa.... Kama kuna ka ukweli flani.Jamaa siku akiachwa lazima aokote makopo.
Hii ni zaidi ya limbwata.
Khaaaa.![]()
![]()
![]()
![]()
Nashukuru kwa ujumbeAcha waambiane
Wasemezane mabaya yako...
Ipo siku wataambiana wema wa Mungu maishani mwako...
By. Goodluck Gozbert (Acha Waambiane)
Kwani wee wa kwako yuko wapi?Mkuu we wakwako yupo wapi?
Kazoea BANMkuu samahan lkn, mbona lugha za ukakasi sana ndg
Pamoja sana braza.Nashukuru kwa ujumbe
Mnapelekwa lini jandoni kukeketwa?Ladies and Gentleman
Muwe na Usiku Mwema
Japo nina furaha ya Ubingwa
Viva Barcelona
Mkuu NAKUOMBA ACHA MATUSIMnapelekwa lini jandoni kukeketwa?
Alaa kumbee...Anamiriki chuma ambacho mamraka ya geshi haimruhusu Murah
Ngoja tusubiri.Mtaona tu.
Namzingua tuu huyu mtani wangu wa Barcelona.Mkuu NAKUOMBA ACHA MATUSI
Hapa tupo peace & funny
..................
Hahahaaa...Anamiliki nyara za serikali.![]()
![]()
Namzingua tuu huyu mtani wangu wa Barcelona.Mkuu NAKUOMBA ACHA MATUSI
Hapa tupo peace & funny
..................
Hahahaaa... Tishio kwenye makabati ya nguo.Mamende ni balaa.