Rudi kaangalia zile herufi hebu..[emoji23][emoji23]Hahaha hahaha hahaha
Ule mkono unaandika poa saaana
Aje bhana Twin???Sio ile kayi unayojua bhana [emoji23][emoji23][emoji23]
Poa poa aicee, tumepoteana mbayaKwema Twin..
Habari za miaka?
Jamani jamaniiSi mmekata kuja kulichukua ...nimeliacha Dar mimi.
Hahaha hahaha hahahaRudi kaangalia zile herufi hebu..[emoji23][emoji23]
Hahaha hahaha hahaha@Sakayo wangu mimi..
Ndio ule nimeandika nao ujue..
Huu mwingine nikiandika utacheka ukufee [emoji23]
Shem ake mieAje bhana Twin???
Uko poa Shem?Shem ake mie
Nipo mkuu...Poa poa aicee, tumepoteana mbaya
Eeh limekuwa parcel kwani?Jamani jamanii
Makubaliano ilikuwa unalituma kwa address yangu
Hebu download hiyo picha uweke archives yako..Hahaha hahaha hahaha
Nimeangalia vizuri kabisaaa jamanii baba Naah
Hakuna mtu anaweza kuniandika!Hahaha hahaha hahaha
Daaah, huo sio mwandiko wako! Nani kakuandikia eti!
Niko poa sana!Uko poa Shem?