Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
KhaaaaEeh limekuwa parcel kwani?
Sitaki kuamini unanirusha gari yangu
KhaaaaEeh limekuwa parcel kwani?
Missing you more baba Naah!Hakuna mtu anaweza kuniandika!
I was just on my table! And i felt missing you..! I just had to write down on the paper..
And i decided to keep it in my desk..ipo hadi sasa hivi.
Hebu hukooooHebu download hiyo picha uweke archives yako..
Hii week narudi mjini kwa kina shunie..Khaaaa
Sitaki kuamini unanirusha gari yangu
Hahahahaa! Ndio ule hata ukiniambia niandike kingine utakuja mwandiko ule uleMissing you more baba Naah!
Kama mwandiko wako wa mkono nilouzoea ndo ulee, kweli mume mepata!
Teeeeeena! Yamekuwa hayoHebu hukoooo
Usinichoshe mimi
Poapoa chiefNipo mkuu...
Mihangaiko tuu inabana kaka.
Niko aicee...kupambana tu na maishaNiko poa sana!
Umemisika saaana
Ukirudi tuu nijulishe jamani T wangu!Hii week narudi mjini kwa kina shunie..
Jmosi aje akaichukue home pale manake inapigwa na jua tuu bure.
Hahaha hahahaHahahahaa! Ndio ule hata ukiniambia niandike kingine utakuja mwandiko ule ule
Mefurahi kukuonaaNiko aicee...kupambana tu na maisha
Nisamehe mimi baba NaahUmenipigia domo weeeeeee
Umemaliza ndio unakumbuka salam?
Hahaha hahaha hahaha hahahaTeeeeeena! Yamekuwa hayo
Pamoja kaka! Naamini mpambano unaendeleaPoapoa chief
Ngoma inadondokea tarehe ya b'day..[emoji23][emoji23][emoji23]Ukirudi tuu nijulishe jamani T wangu!
WoyoooooooNgoma inadondokea tarehe ya b'day..[emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo mengine sio unaona kwenye movie tuu.Woyooooooo