Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Hahaha hahahaMbulaaa! Niko nje hapa ! Pembeni ya vits nyeusi
Siku hizi mehamia JFHahahaaaa...
Unatumia jf eeh?
Na KTSiku hizi mehamia JF
Nilihama hukoo natumia nikiwa kwetu kuleeNa KT
Tatizo lako uko masama huko afu unajidai upo town.Hahaha hahaha
Hamna vitz nyeusi wala
Ndo wapi eti hukoTatizo lako uko masama huko afu unajidai upo town.
kitongoji fulani huko DubaiNdo wapi eti huko
Asa Dubai na penye niko wapi na wapi eti baba Naahkitongoji fulani huko Dubai
Asa Dubai na penye niko wapi na wapi eti baba Naah
Hebu hukooooDubai ya hapa Pretoria bhana...
Ukipanda uber dakika 5 unafika Addis ababa karibia na Mombasa ukiwa upande wa magharibi.
Ulinitumia inbobo kipindi kileee.. umesahau??Ebu niambie ulipoipata tetra
Uzuri uko inbobo toka nimeingia jf situmii na pm nimefungaUlinitumia inbobo kipindi kileee.. umesahau??
Mama naah weeehHebu hukoooo
Usinichoshe mimi
EeenhYa heri kabisa.. na nimekumiss sana. Kuhama mwenyewe ni mtihani mzito. Nikitoka kumtumikia boss nakuja [emoji23][emoji23]
Hongera... njoo tunywe.Eeenh
Nishamaliza mm
Nilivyochoka hivi sitaweza jamaniHongera... njoo tunywe.
Ntakuja Sinza kesho halafuNilivyochoka hivi sitaweza jamani
Labda uniite kesho