Nani alikuteka jamani baba wawili wanguShunie hizi quote hata huwa,sizioni kabsa,natumia app,bhasi ni shida sipati notification kwa muda muafaka
Mfungo unaendelea poa sana,
miss u more kibonge mwepesi
Kwahiyo baba wawili mapacha wako sio was kudownload eenhHa ha ha sehemu zote unapatia,hapo kwenye kudownload pekee ndipo unapokosea
miss u more shunie
Lini tunalipata sasaCargo vessel iliwahi..!
Hahaha hahahaYaah naelewa sana Rihanna wangu [emoji16]
Amani ni jambo la muhimu zaidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe huyoooNiko hapa nafanya mazoezi
Shkamoo ya nini etiShikamoo mama Naah
Muoga sana jamaniiHahhahahha kumbe muoga eenh
Hahaha hahaha hahahaHahhahah unashindwa kumalizia eenh huku
Hebu kwanzaEti mnyama wetu mweusi ameshafika huyu baba naah wako anatuchukuliaje
Hahahaha,Mimi pia nakuogopa lkn hii iwe special mm na ww tuWe mzee jamani mm pm nakuogopa sana
Mama NahBaba Naah
Njoo ukatupige basi..Nasubiria picha
Hili swala namuachia Ninge aje alitolee kauliunder eighteen bwana mnajikuta wazee [emoji6]
πππWas mwisho kulala was kwanza kuamka
Mko wapi etiNjoo ukatupige basi..
Hebu tuma tuu jamani, na Mungu akubariki.. Na hizi mvua acha kabisaaaNdio hiyo kweli...
Natuma tuu
Nilikuwa nakusalimia mimi jamaniiiMama Nah
Nipo mjini kwa kina shunie na LeeMko wapi eti