Eeeeeeh Fanya wazi unachotaka zidisha kunipenda
La kuna paparazi na basata tusichapane madenda
Nakoma na zako Kachiri, Kachiri, Ukibinuka binuka
Eeeeeh Eheee Ehee
Asa bebi mi nataka nikukande, Pindaa, Pinda mugongo, Pindaa
Yaani pinda nikukande, Pindaa, Pinda mugongo, Pindaa
Embu nipe nikukande, Yaani nikukande
Chiiii
Ulikunywa Safari za moto nini? [emoji23][emoji23][emoji23]Ooh nishikilie nami nikugande, Pindaa, Pinda mi napinda mugongo Pindaa
Amen
Wapi Mama Mchungaji
Kawaida yanguMapema hivi imekuwaje eti
Acha wivu bibieMm vipi haujanimiss [emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23]chizi wwHahahah hii yangu ya kulazimisha sio kama ya Tumosa
Shikamoo binamu,pole na mfungoJamani kuna Jipya!? maana wiki ndo imeanza
Kwani mm nimebisha jamaniKanimiss shemeji yngu jamani
Kweli bwana[emoji23][emoji23][emoji23]chizi ww
Sina wivu hata ukitaka hata umchukue mama mpandishwa vyeoAcha wivu bibie
Hiyo beer sijawahigi hata kunywaUlikunywa Safari za moto nini? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi ulisubilia eenhNasubiliaaaaaaa
NdiwooooooHivi ulisubilia eenh
Ikawaje sasaNdiwoooooo
Tatizo una wivuKwani mm nimebisha jamani
MfyuuuuSina wivu hata ukitaka hata umchukue mama mpandishwa vyeo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tatizo una wivu