Makapuku Forum

Makapuku Forum

easy furahiday and happy wikend wadau wote. Nawakumbuka, itoshe tu kusema ninyi ni watu wema sana na ni sababu tosha ya kuwa hapa na kufurahia maisha.

Wikend ndo inaanza na mdau mwenzenu mnajua napenda burudani na wewe huchukiii kuburudika na leo sasa ninakuja kwa utaratibu kabisa.

Anaitwa Michael Kiwanuka (yes, uko sahihi) Muingereza huyu kwa kuzaliwa ila asili yakeni kwa majirani zetu Uganda-family yake ilikimbia enzi za Nduli Field Masho IAD.

Anapiga gitaa na keshafanya kazi pamoja na Adele, nyimbo zake zinatamba na kusikika kwenye filamu kadhaa Seven Seconds, Dear white People (Netflix) na Empire (Fox) kutaja chache, kifupi tu jamaa wimbo wake umetumika kwenye Big Little Lies ya HBO. Hutaki kumsikiliza maneno yake basi sikiza sauti na kama sauti inakuchosha basi gitaa na kama vyote basi soma mashairi yake.
Utakuwa na wakati mzuri uiku hu na wikend njema mdau unayelifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo.

Shukran kwa mziki na ufahamisho wa mwanamziki.
Bila shaka u mzima huko ulipo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom