Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
Naona unataka kunigombanisha na brother wangu wa pekee kabisa.Cc my favourite couple Th Name & lizziebettie
Naona unataka kunigombanisha na brother wangu wa pekee kabisa.Cc my favourite couple Th Name & lizziebettie
Basi sawa braza.![]()
![]()
subiri utaona.
Achana nae Huyo....Kuna nini wakati nampenda kakaangu?
Anafanana na nani huyu????
Endelea kujipa matumaini.labda kama mwanaume atabaki peke yake duniani
Mambo my wiiiBaelezeeeeeeeeee wifi ake
Cc sumbaiNipo mie nipo 'singo'.
cc: lizziebettieNakupenda
Mbona hujaweka na ile comment yangu.
Mambo c mabaya sana na wala mazuri sana mkuu,nitarudi kuleta mrejesho tenaUsisahau mrejesho mkuu
Ha haa angalia usije tolewa ngeo
Umemshindwa wako....Ntaka nkupe tulizo zuri shem wangu.
![]()
![]()
Hehehe mi mwenyewe kuruti, nibembelezee niwe japo koplo![]()
Kaka yangu ni kuruta
Mjomba Koplo
Dada Koplo Usu
![]()
![]()
![]()
![]()
.........
Ntaka nkupe tulizo zuri shem wangu.
![]()
![]()
Ntaka nkupe tulizo zuri shem wangu.
![]()
![]()
Tulizzza boulMbona hujaweka na ile comment yangu.
Endelea kusubiria meli, airport

Nakuaminia kaka.Kawaida yangu huwaga siongei sana.
Ni vitendo tu.
Haibiwi mtu