Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Acha kujisumbua wewe braza.Sijawahi kuwa hosted.....
Kesho twende wapi vile.....!
Kamata fursa basiKanihakikishia yuko single
Siku si nyingi huyu kijana atarudi hapa akiwa analia.Nakuaminia kaka.
Vijana nuksiiii.....Binadamu wabaya sana.
Hahahaa....Brother nimeamua kuwa single*.
Sitaki kubanwabanwa kama brother Th Jina*
Sema wewe mpenzi wangu.Haibiwi mtu
We bado upo tu??? Si ulishaaga???Hujui Leo weekend braza....!
Kesho unaamkia chach
Mkuu chungulia pm. Nmekupa namba ya mpesa kwa ajili ya Sadaka.Usisahau kutuombea sisi wakosefu.
Kijana anaweweseka tu humuHahahaa....
Najua umeyaonja machungu ya kuachwa.
SanaaaaPupil anazingua
Tatizo jamaa anajiamini sana,hajui kwamba mamende wametapakaa kila sehemu.Vijana nuksiiii.....
Mnamfanya th jina akose raha....
Acheni fujo
Sasa na saa ya kufa kwetuUsisahau kutuombea sisi wakosefu.
Tangu lin....Nipo mie nipo 'singo'.
Umepata!!! ANAIBWA MTUHaibiwi mtu
You will snake![]()
![]()
mtanyooka tu
Asante shemeji na kwako pia.Uck mwema wapendwa
Wanasubiri ndege ubungoAsante sana Dada. Kuna Watu roho zinawauma. Waambie hivi watasubiri miaka 100000.