Sasa mtu anajitangazia kuumwa na kichwa miezi miwili... Kisa kutokukulwa... Nikaona nimchukue maelezo... Ili baadaye tumwite baba naa tuwape ushauri nasaha kwa Pamoja
Nimesikia kwamba na wewe tangu umepandishwa cheo umekuwa adimu humu..... Hmmm nisije nikasutwa.... Lakini Magu c alisimamisha kwa muda kupandisha watu vyeo au umepata upendeleo maalum