Makapuku Forum

Siku moja baada ya Krismas huwa ni boxing day.
Sasa leo ni siku moja baada ya Pasaka, ingekuwa mifuko ya plastic haijapigwa marufuku basi tungeiita plastic day.

Anyway, binamu yenu nipo, namalizia sherehe hapa na sitaacha kuwasalimia wadau wote wa jukwaa hili zuri
 
Ikiitwa zawadi dei si mbaya

Asante kwa kutusalimia nami nakusalimia sana ww pamoja na ABJ
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…