Makapuku Forum

Najiaminisha kila mmoja wetu humu hajambo kwa hali na usawa wake. Ndo maisha na nikiwamiss watu wema wa jukwaa hili sijui kuficha, nitasema na sasa nauliza kama Kuna Jipya?

Ukiwa unajipa muda kujibu(au hata kama umeignore/puuzia) wewe burudika na muziki huu

 
Tuko bien ,Papaa

MTC | 101|
 
Reactions: Obe
Toka kwa twita ya Gado tena, ni leo tu na tena muda huu ndo niko naipitia pitia na nimeona sio mbaya wewe mdau wa Jukwaa hili ukaipata. Kama kawaida usichukulie maisha kiumakini sana. Kuna maisha ya kufurahia kuishi tu inatosha

 
...pale uko sekondari unajitahidi kuandika essay, point ni zile zile tu kwenye swali la Kwanini africa haina maendeleo

Uporaji wa Ardhi
Viongozi wabovu


..Halafu uchaguzi ukifika unawachagua viongozi wale wale. shuleni ulisoma kumfurahisha mwalimu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…