Mtu chake yeye hana shida na thread anakufa na tai shingoni kama mjerumani
Halafu sasa T mtu chake mm namshangaa kuna wanawake wanampenda humu mpaka wanamfungulia thread na kumwambia kwenye comments yeye yupo na shunie tu
Papa haitolewi kifwala basi kama ni hivyo tungekuwa tunakulwa na kila mtuMpe papa kama vipi...muone huruma
@Mtu Chake hebu njoo kampige sound huyu mtoto bhana...!Papa haitolewi kifwala basi kama ni hivyo tungekuwa tunakulwa na kila mtu
@Mtu Chake hebu njoo kampige sound huyu mtoto bhana...!
Nawatakia maisha mema huko WozapuHahahaha
MTC | 101|
Papa haitolewi kifwala basi kama ni hivyo tungekuwa tunakulwa na kila mtu
Hahahaha, Shunie mie niko na wewe ,km kunitosa we nitose tu
Mtu chake yeye hana shida na thread anakufa na tai shingoni kama mjerumani
Halafu sasa T mtu chake mm namshangaa kuna wanawake wanampenda humu mpaka wanamfungulia thread na kumwambia kwenye comments yeye yupo na shunie tu
Papa haitolewi kifwala basi kama ni hivyo tungekuwa tunakulwa na kila mtu
Mtu chake sijui kama atakupa mahela aki, yabaki unitumie kama kawaida yako!Hhahahhahaha
Kwamba mtu chako ako na nn mama naah
Habari mremboHahhahahha jinga ww
We cheka tuu jamani
Mbavu zangu mm
Hahaha hahaha
Ebu niulizie kwa huyu mzee kavurugwa na nn
Hahaha hahahaMfyuuuuu shemela tena
Nilifurahia ndani tuu eti km maini na Figo tumboniWewe unafurahi wapi eti
Ng'ang'ana mjomba usikubali kirahisi tuuHahahaha, Shunie mie niko na wewe ,km kunitosa we nitose tu
Halafu Leo timu yako inacheza ujue
MTC | 101|
Nimewamis sana humu makapuku wenzangu
Bila shaka mko njema
Wozap ipii hiyoNawatakia maisha mema huko Wozapu
Tuko njema za ww papuNimewamis sana humu makapuku wenzangu
Bila shaka mko njema
Hahahaha, myluv mbn uko nguvu sana, tutaongea baadae acha nijiandae na game Simba vs Mazembe
MTC | 101|