Ewaaaa kumbe unakumbuka...jana nilikuwa na bando nusu, ila nakumbuka kwa kina kuwa ni songi la Gozbert ndo ulitaka kulisikiza. Umeamini kuwa kichwa changu chapo kina ulalaza kina kumbukumbu kama saa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usisahau fursana binamu
Hahaah binamu hapendi cheni anapapenda shanga tena nyingiBila kusahau cheni pia[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3] huku kwema jirani sijui hukoKama auntie yake Tumosa[emoji23][emoji23]
Kwema lakini jirani??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnyororo...binamu, ulishakutana na aliyevaa cheni ya vyuma yaani bila oil basi vyuma vinakutoa malengelenge
Huku kwema pia jirani,tupo tunashangaa shangaa tu
Aisee,,hahahahah...binamu, ulishakutana na aliyevaa cheni ya vyuma yaani bila oil basi vyuma vinakutoa malengelenge
Kumbe imefika sehemu sahihi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka kwa sauti wewe apo ndo nilikuwa nakupa pole kwa mvua
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji4]
Hahaha unashangaa vinini nami nije nikusaidie kushangaa jiraniHuku kwema pia jirani,tupo tunashangaa shangaa tu
[emoji23][emoji23][emoji23]yaani telemundo anajua kuoteaKumbe imefika sehemu sahihi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3]shanga za wapiHahaah binamu hapendi cheni anapapenda shanga tena nyingi
[emoji23][emoji23][emoji23]jirani hataki kufukua makaburi kwa binamuKumbe imefika sehemu sahihi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Woouuzer[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha utaweza kushangaa zile za dj aflo jirani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sikati tamaa huyu mie ninae ,labda nife
MTC | 101| [emoji769]
Shunie mm nacheka jamaniiiAnko huyu mutoto Mie ninae mwanzo mwisho ,lzm aje huku kutulia
MTC | 101| [emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]So ana pcha zako Huyo[emoji23][emoji23][emoji23] so ahabu kaziprint kabisa baba wa watu
Hahaahahahahha...huku kwema kabisa, asante kwa kuuliza, mvua tu ndo zinasumbua (paa la nyumba ninayoishi halivuji) ila halina ceiling board kwa hiyo utasikia kila mkito wa mvua