Makapuku Forum

Kama koroni sina hata moyoni sina
zaidi ya wewe
Chaguo lingine sina
Ndio maana nakufata nizikwe na wewe [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847] [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Acha nikwambie tu Hii siri ya moyo wangu
Hata nikificha mboni zitaniumbua aah
Acha nikuonyeshe kina na upana wa mapenzi yangu
Na huwe wangu wa milele niwe wako [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Nishapitia mengi hadi nusu nijipige kitanzi nkachoropoka

Hile kutapa tapa kama mufa maji nkakorofoka

Nikawa na chembe ya ukicha aah
Mikasa ya mapenzi inakorokocha
Simanzi kutwa kuccha sijiwezii
 
Basi chonde chonde iwe mwisho na usije nikatili

Hayo majeraha uniuguze uniuguze
Illa acha nikwambie tu
Hii siri ya moyo wangu

Hata nikificha mboni zitaniumbua
Acha nikuonyeshe kina

Na upana wa mapenzi yangu
Na uwe wangu wa milele niwe wako [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Aaaannhh mwenzio ooh
Ifunanya

Kwako wee ndo sijiwezi
Ifunanya

Hata nyendo sina aah
Mbele sioni iih

Ifunanya
Nakupendaga wewe tu ifunanya [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Ujue niko na mood flani najihisi nipo ulimwengu wa peke yangu baba wawili. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe shunie!!sema kweli??hii dunia halaf uwe mwenyew lazma ujfeel raha sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wooiiiih shunie kibonge mwepesi,kashasema [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…