Makapuku Forum

Niko njema, zile mbinu ulizonifundisha zinanisaidia sana.

Yaani wewe ulipaswa kuwa hata profesadokta kabisa ila ndo uzinzi umezima ndoto zako za kuwa mkufunzi.

Umepotea sana anko
Binamu kiukweli nimekumiss mbona umekuwa adimu hivi
 
Reactions: Obe
Mwenyewe nimekumiss sana aunt yangu wa nguvu, nilikuwa nafuatilia malipo yangu nusu ilobaki, sijayapata sasa imebidi nitafute kazi , nafanya usiku
Hahahaha mpaka leo hamjalipwa binamu kwahiyo umeamua kuwa kolokoloni
 
Reactions: Obe
Hahahaha mpaka leo hamjalipwa binamu kwahiyo umeamua kuwa kolokoloni

....ndo nimeamua hivyo sina namna sasa, unadhani kukaa unaomba assist inapendeza? Ulipotea sana lakini bora mimi naingia usiku usiku
 
....ndo nimeamua hivyo sina namna sasa, unadhani kukaa unaomba assist inapendeza? Ulipotea sana lakini bora mimi naingia usiku usiku
Hahahah binamu bwana kweli nilipotea ila sasa hivi mtanichokz
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…