moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 156,132
- 770,197
Marahaba hujambo Shunie
Hatujamboo shikamoo jamani
Hatujamboo shikamoo jamani
Sijambo moud sijui weweMarahaba hujambo Shunie
Na kwako pia moudMuwe na usiku mwema
Muwe na usiku mwema
Binamu kiukweli nimekumiss mbona umekuwa adimu hiviNiko njema, zile mbinu ulizonifundisha zinanisaidia sana.
Yaani wewe ulipaswa kuwa hata profesadokta kabisa ila ndo uzinzi umezima ndoto zako za kuwa mkufunzi.
Umepotea sana anko
Mwenyewe nimekumiss sana aunt yangu wa nguvu, nilikuwa nafuatilia malipo yangu nusu ilobaki, sijayapata sasa imebidi nitafute kazi , nafanya usikuBinamu kiukweli nimekumiss mbona umekuwa adimu hivi
Hahahaha mpaka leo hamjalipwa binamu kwahiyo umeamua kuwa kolokoloniMwenyewe nimekumiss sana aunt yangu wa nguvu, nilikuwa nafuatilia malipo yangu nusu ilobaki, sijayapata sasa imebidi nitafute kazi , nafanya usiku
3
Hahahaha mpaka leo hamjalipwa binamu kwahiyo umeamua kuwa kolokoloni
Hahahah binamu bwana kweli nilipotea ila sasa hivi mtanichokz....ndo nimeamua hivyo sina namna sasa, unadhani kukaa unaomba assist inapendeza? Ulipotea sana lakini bora mimi naingia usiku usiku
Waoooooooooooo!Hakuna kama binamu!utazidi kubaki juu!



juu anabaki liquid binamu
Ewaaaaaaa lakin wewe si humpendiiiiiEwaaaaaa huyohuyo anayenipenda![]()
Hii ya mjomba mjomba ningendakoNiko njema, zile mbinu ulizonifundisha zinanisaidia sana.
Yaani wewe ulipaswa kuwa hata profesadokta kabisa ila ndo uzinzi umezima ndoto zako za kuwa mkufunzi.
Umepotea sana anko
Nakupenda bwanaEwaaaaaaa lakin wewe si humpendiiiii
Kumekucha salama ?
Nakupenda bwana
Nakupenda bwana
Hamjambo, wapendanaoHahahahahahahahah

Shangazi hili jibu nadhani lilirudi mahala pake eti.?