unataka niaminiii na hikii leo ?Nilitekwa na usingizi mm
Binamu![]()
Ebu niambie nikwambie nn ili uniaminiunataka niaminiii na hikii leo ?
mengiiiiiii tokea tufomatiiiiiiiii kichwaaaaEbu niambie nikwambie nn ili uniamini
Koma kabisaaaJamani ndio hasira ukanitisha utaleft woiiii ujue kosa langu ni kuongea ukweli nimekoma jamani
Hahaha hahaha hahahaSio kwa povu lile nililokukuta nalo
sema umetekwa na nani sasa ?
Alaambaaa looolooo
Nimekoma dadaKoma kabisaaa
Nimetekwa na Lee jamanisema umetekwa na nani sasa ?
hahahahahhahahahahahahha yupiii huyoo ?Nimetekwa na Lee jamani
wapoo wengiiiii sema mmoja na anakupendaaaa haswaaaaaa
Kwani kuna Lee yupi tena
Ewaaaaaa huyohuyo anayenipendawapoo wengiiiii sema mmoja na anakupendaaaa haswaaaaaa




Hatujamboo shikamoo jamani