Ni kweli kabsa,maombi yetu yalifanya kaziAlitekwa na mtekaji dagaa, angekutana na mtegaji papa basi tena tungemsahau.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah alikuja
Auntmary huyo haha
Woooooiiiiiiiiiii wooooooiiiiiiiiiiWoyoooooo woyooooo
[emoji3][emoji3][emoji3]hivi anajijua kwamba sahivi anaitwa auntmaryAuntmary huyo haha
Safi, habari yako kiongoziSalamaaaa ndugu
Nimestaajabu mimi? Sijui vile ndo naamka[emoji3][emoji3][emoji3]hivi anajijua kwamba sahivi anaitwa auntmary
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Shkamoo kwa niaba ya mama wa2...ni ngumu sana kama hujalewa, mwenzako niko kwenye promosheni ya kukaribia kumaliza kwaresma
Hahaa, Yamekuwa km maombi waislaam kwenye mvua..Ni kweli kabsa,maombi yetu yalifanya kazi