Kwa kweli.. Ze lavu to ze extent on ze rait traki.Acha tupendane tu maka akee
Ameshaachwa na swahiba wako
Ebu uko mfyuuuasisahau nauli
Ahsante sana shemela langu, 1st eleven wa jirani yangu shululu.Nilikumuss pia shemela
Nilitegemea kukuta "maka akee unanini jamani, mfyuuu zako"
Umestarabika siku hizi shunie akee eeh..
Sent using Jamii Forums mobile app
Usimshangae ndio hvyo tena, kaishakata kamba pesa lazima imnogee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukistaarabika sana na dunia ndio itakuwa imefikia the end.Nimestaarabika kiduku tu maka akee
Wouzeeerr
Hahahah
Hee!! Kisa na mkasa!?Ameshaachwa na swahiba wako
Woyooooo woyoooooooo
HahahahHee!! Kisa na mkasa!?
Ngoja nikashubare kwanza then ndio unipe hizi habari za huzuni kwang kwa mapana na marefu.
Sent using Jamii Forums mobile app