Nahrene
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 938
- 2,908
Hata mimi natumia simu. Nili update app ya JFHivi hizi emoji mnawekaje?
Natumia simu.
Hata mimi natumia simu. Nili update app ya JFHivi hizi emoji mnawekaje?
Natumia simu.
Sijui kama mimi umenipa cute bNani sijamgea like?
kwani nmekosea best, siunajua tena katika1 hakuwezi kukosa 2?
Basi wewe kunywa hiyo
Ooh ok okHiyo dompo ya cute b. Si amepewa offer hapo
Bei yake ni shiiiiiiiiidaNamwonea huruma ati
Asante, ngoja ni-update.Hata mimi natumia simu. Nili update app ya JF
wooow!! ila naomba ungempa Mshana jr anitumie kimazingara japo niinywe live![]()
Basi wewe kunywa hiyo
Sio ya mjini ni habari ya jf ila wanajifanya hawaoniKwasasa makapuku ndio habari ya mjini
wooow!! ila naomba ungempa Mshana jr anitumie kimazingara japo niinywe live
Muombe mwenyeweHapo vipi Mr kimario.Sijui kama mimi umenipa cute b
mmh! mimi namuogopa cos alishawahi kunitishiaga kuhusu tunguli zake![]()
![]()
Muombe mwenyewe
Nimetoa mwongozo kuepusha manenomaneno....nimeongeza kwenye post # 3 kwamba HAPA ni udaku,mapenzi,swaga,birthday,elimu,jokes,funny,michezo,news,politic,ushauri na kila kitu kuhusu lifeOoh sikuwa nimeona
Hana shida. Nenda kwa upole mwambie kaka naomba uniletee hiyo juice hapo juu. Atakupa bila matatizommh! mimi namuogopa cos alishawahi kunitishiaga kuhusu tunguli zake

ndiyo ili awe anamsaidia kupost!Mbona unamtafutia mwenzio balaa sasa?? Simu kabisa akabidhi?
Hana shida. Nenda kwa upole mwambie kaka naomba uniletee hiyo juice hapo juu. Atakupa bila matatizo![]()
hapana, wala umuombe wewe anitumie mimi..Duuu ushawahi kukutana nae au ni hiyo avatar yake apooWe mshana kila siku ndotoni naota unaninaniliuuuu... na nikiamka nakuta nimelowa.
sumbai njoo mwilika mwizi wa penzi lako
wooow!! ila naomba ungempa Mshana jr anitumie kimazingara japo niinywe live
