Makapuku Forum

Jamani natamani na mm ningeona ukiona tena uniambe niangalie na mm
sawaaa insta babe.... walimkamata wakamtoa nje wakawa wanapima anazalisha volts ngapi za umeme wakakuta ni umeme mara 5 ya ule unaotumika kwenye hizi socket za majumbani

then wakaonyesha aligator (vile vimamba vidogo vya marekani) kilitaka kumla akapigwa shoti hadi akafa

then wakati wanarekodi camera man alikula shot hadi wakaktisha kipindi kwa muda


Sent using Jamii Forums mobile app
 

...hapa yupo kwenye aquarium, wameweka vibati viwili karibu na kioo, ukivigusa unapigwa shoti

 
Aiseee
Uwe unaniambia niweke na mm niangalie insta babe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…