hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 51,405
- 73,316
Daah nimeona kuna mtu ka-like hapo .... I bet " Nitarajie kupigwa risasi kama Tundulisu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Jambo mimi....
Sina dadaShika yako
Sipendi hicho kijinaaaaJe wajua inakujia na shunie shunie shangazi
Mimi sioni kabisaaaSakayo ndio ninapoelekea hukuView attachment 1046265
Hahaha hahaha hahahaDaah yaani nime login humu nikawa nawaza namna yakumfikia Sakayo " ghafla nakuta ume m-tag hapa ...
Moyo umelipuka kama vile moto wa gesi unapo washwa "
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani huyo etiDaah nimeona kuna mtu ka-like hapo .... I bet " Nitarajie kupigwa rusasi kama Tundulisu
Sent using Jamii Forums mobile app
OMG ... binafsi siwezi hata kuelezea ...Hahaha hahaha hahaha
Nimekumiss ujue
Sema kweli jamanii
Huna shemeji huku bana... Acha kunizibia riziki
Hakika " tena .. naanzaje kumuongopea mtoto mzuriSema kweli jamanii
Geeez!!!!, riziki hiyo toka wapi tena ... wakija waambie mahari napokea mimiHuna shemeji huku bana... Acha kunizibia riziki
Hebu elezea hapo kidogo tuu jamani
Hahaha hahahaGeeez!!!!, riziki hiyo toka wapi tena ... wakija waambie mahari napokea mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nielezee jinsi ulivyo mtoto mzuri !!?Hebu elezea hapo kidogo tuu jamani
Kwa kweli ningeandamanaHahaha hahaha
Watakujaje kama hawajapitia kwako?!
Tobaaaaaaaaa!Huna shemeji huku bana... Acha kunizibia riziki





Hahaha hahahaNielezee jinsi ulivyo mtoto mzuri !!?
Sasa si wataka idadi ya maombi ya kufunguliwa geti ya ongezeke ...
Mwisho wa siku utatusa babishia server za jf zi stuck bure
Sent using Jamii Forums mobile app