Hahahaha, safi Sana ,mutoto muzuri
MTC | 101|
mutoto muzuri wa kwenye picha zako za uongo ulizopewa we mzee bwana
Huyo raia mwema we mzee aliyekupa ni yule mshkaji wangu eenh najua unajua wala sitamuuliza uwe na amani kabisa we mzee
Nijibu hiyo quote ya mwanzo we mzee ya juu hiyo usiirukeHahahaha, hata km za uongo kwangu mie we mutoto ni muzuri
MTC | 101|
Hahahaha, hata km za uongo kwangu mie we mutoto ni muzuri
MTC | 101|
Hahahaha, murembo ,mutoto ya Tanga ,asee milimani utanipeleka kweli ?
We mzee bwana
Nijibu hiyo quote ya mwanzo we mzee ya juu hiyo usiiruke
Hahahhaha ebu acha kunizuga huna picha na wakati umeshaniambiaHahahaha, mshikaji gani huyo tena ? Mie muzee niko na Rafiki mingi ,waweza nisaidia pia
Lakini Shangazi si nimesema sina picha au
MTC | 101|
Nitakupeleka mpaka tumalize hii mada yetu we mzeeHahahaha, murembo ,mutoto ya Tanga ,asee milimani utanipeleka kweli ?
MTC | 101|
Hahahaha, hii Mada si ishaisha au bado? Shangazi banaNitakupeleka mpaka tumalize hii mada yetu we mzee
Hahahhaha ebu acha kunizuga huna picha na wakati umeshaniambia
Mh kirahisi tu ebu tuendelee na story hukoHahahaha ,shangazi potezea basi
MTC | 101|
Inaishaje jamani we mzeeHahahaha, hii Mada si ishaisha au bado? Shangazi bana
MTC | 101|
Uncle na shangazi mambo zenu..?Nitakupeleka mpaka tumalize hii mada yetu we mzee
Hahahaha, hii Mada si ishaisha au bado? Shangazi bana
MTC | 101|
Karibu kapukuz..I guess huu ndo uzi wenye comments nyingi kuliko uzi wowote ule humu jf.
Haya maisha bhana... kila mtu huwa yanamgonga kwa style yake.
Uncle na shangazi mambo zenu..?
Mh kirahisi tu ebu tuendelee na story huko
Poa T habari yakoUncle na shangazi mambo zenu..?
Unanibadilishia gear angani na habari za mgongo njoo upande nikubebeHahahaha, shangazi mgongo huo una unaniumiza ujue kuutazama
MTC | 101|