Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,386
- 95,833
Hahaa...! Namalizia changu hapa M.Towers afu nasogea maeneo yetu soon.
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi T za wewe
Mtumie Shunie hzo muamala ukisoma tu bibie utamkuta anakusubiri nyumbani[emoji4][emoji4]Hahah usinicheke ujue " mwenzio nateseka na huba ujue .... hebu fanya fanya kunipigia pigia pasi hapo " Nitakupoza nina hela za mkopo hapa..zimekosa wakuzichuna
Sent using Jamii Forums mobile app
Mdogo wngu vp[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unaona sasa ulivo na maneno
Ndiyo useme nakuonea
Sent using Jamii Forums mobile app
Abeeeee
[emoji113][emoji113]
MfyuuuuRogie huyu ndio anafaa kuwa mke hatembei majukwaa mengine zaidi ya chit chat makapuku
[emoji1][emoji1][emoji1]Shunie wee mke nimeogopa tone yake banaa.
Hazijatoka badoWe dada mbona WhatsApp kimya ebu kacheke cheke basi
Naona upo kazini mamaHahaa wala umemtafsiri vibaya tu ujue rogie huwa hakwazikagi
Kwahiyo unajikana we sio wife materialMfyuuuu
Ebu tulia huko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona upo kazini mama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana mamy " mimi kwako huwa sithubutu kuuruhusu ulimi wangu ukutamkie uwongo " siunajua vile ambavyo kwako nimpofu wa penzi lako " so naanzia wapi kuwa na tabia mbaya kama hiyo mimi ..naanzaje kumuongopea mwanamke nimpendae chini ya hili jua
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tuma muamala tumlainishe shemelaDaah Tumosa njoo unipepee tafadhali.. huyu mdogo wenu mmelisha nini mbona kawa na roho ya kijasusi kiasi hiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo kwaniMxxiuue sababu mm penda pesa
Ndo uniuze namna hyoKwahiyo unajikana we sio wife material
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ebu tulia huko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]