Makapuku Forum

unaona sasa ulivo na maneno
Ndiyo useme nakuonea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unataka nami nikupende halafu baadae unambie "nilikuwa nakutania
nina baby wangu
"
Akaa sitaki we akili zako unazijua mwenyewe sitaki aibuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha my ribs " huyo baby wangu mwingine ninani sasa zaidi yako ...hivi kweli mimi ninaweza kuwa na jeuri mbele ya ABJ looh thubutu ..ABJ nikama mapigo ya moyo wangu yatakapo acha kupiga basi uhai wangu nao unakuwa wa mashaka ..ndugu na jamaa wajiandae kupokea msiba
 
Hahahahaha mxieew.... Baba unamaneno wewee kaah


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahah watoto tulizaa lini!?umezurura weee huko wameisha umeamua unikumbuke

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha nakujua wewe ni baba maneno mengi yaani hapa sikuamini hata kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Binamu Obe nakusalimia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…