Binamu Obe na ww korosho zako zimerudishwa au ABJ na baba wawili ebu mkuje mshangae ya koroshow
BBC: sakata la korosho serikali ya Tanzania yawarudishia wakulima korosho wadai hazina viwango, wengi hawajalipwa mpka sasa - JamiiForums
AsanteeNimekuja furahiday hii, mida mizuri kabisa ya kuianza wikend na kwa hili nakusalimia wewe mdau unayelifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo. Sitoki sababu wewe upo.
Burudika na nakutakia wikend njema
Vumilia tu mwishoni utakula malaki tu woiiiiibinamu Obe alivyo habebeki sasa utambeba atakuja kukutupa
Mmmmh mbona Kama nawewe yamekukumba...zangu hazijarudishwa kwa hili naishukuru serikali na ikiwezekana naorganize wana mtaa tuandamane kuunga juhudi za serikali. Waliorudishiwa kwa kweli wameumia sana
...hivi aunt kwanini hurudishi wewe kwa wema, mimi kila siku nasemaga mambo mazuri kuhusu wewe, siku nyingine naendaga hadi kwenye msikiti wa hapa nashika spika natangaza sifa zako nzuri kabla ya swala. Ila sasa wewe unapenda kuniharibia, mimi nabebeka sana, tena akinibeba ABJ nakunja na miguu, nasinzia
...nitajibebesha, wewe wala usihangaike, nitatafuta supaglue hautahangaika kunibeba
Hahahahaaa wamewaweza vizuri, naona na foleni itapungua kina marybaby....ni shida lakini ndo tunafanya nini sasa, yaani watu hata raha ya kutembea na wenza wa watu haipo, maana hakuna hela
Hahaaha hiyo stakabadhi ndo tutanunulia mboga? Ukihamia Mara michepuko yote itakukimbia...mimi hayajanikumba, niamini, nimepewa stakabadhi ila kulipwa bado. Nisipolipwa nahamia Mara kulima mtama watu wanywe uji.
Hujambo lakini mrembo wangu, nimekumiss kama alhamis yaani
Hahaaha hiyo stakabadhi ndo tutanunulia mboga? Ukihamia Mara michepuko yote itakukimbia
Mimi sijambo kabisaa Kama unavyoniona
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaha hiyo stakabadhi ndo tutanunulia mboga? Ukihamia Mara michepuko yote itakukimbia
Mimi sijambo kabisaa Kama unavyoniona
Sent using Jamii Forums mobile app
...nakuona umependeza sana, na hapo ndo huwa najsifu mwenyewe kwa kukuchagua wewe peke yako huku na sijali kama unajua au hujui
Hapo sasa baba tusishirikishane mambo yakuaibika mbele za watu akaa....hii inasaidia sana kupata assist (kukopa) na kweli hadi saa hizi nashukuru nimepata assist ambazo sina hakika kama nitaweza kuzilipa nikipata hela
Hapo sasa baba tusishirikishane mambo yakuaibika mbele za watu akaa
Sent using Jamii Forums mobile app
...acha woga mama, kukopa ndo kuendelea na namna ya kuwakwepa uliowakopa ndo ushujaa. Usijedhani mtu kuitwa shujaa kunakuja kiurahisirahisi tu.
kwanza kuna raha kumzungusa mdeni wako ππππ
Hahahah
Haha atakuwa anasababu zake tuIla ni nini eti hivi mm kweli sio mdada mstaarabu baba wawili ningendako ebu ukuje jamani huyu binti ananibishia