Urembo wa nje ni wa uongo,,urembo wa kweli upo ndani[emoji41]
Enzi zetu hizi binamu,wakat huo mziki unaitwa mziki
Kwema binamu yangu?
Hahaha
Karbu kwenye ukoo
Nini sasa??umeamka tayali
MbinguniHivi Mr Ebbo aliendaga wapi
Sema kweli jamaniiMbinguni
Nimeamka tayari kulipiza sk 5 za utumwa[emoji53][emoji53]Nini sasa??umeamka tayali
Dada mkubwa kabisa (km asemavyo shangazi) Mzima wewe,? Habari ya wiendi?.Hivi Mr Ebbo aliendaga wapi
Hahaha sk 5 za utumwa upi tena
weekend unaitumia sawa sawa
Tena unajitowa faham kbs hata kuinuka kuchukua maji unywe unaogopa kana kwamba ukirudi kitandani inakua j3[emoji30][emoji30]weekend unaitumia sawa sawa
Hahah kwa hyo leo unakula usingizTena unajitowa faham kbs hata kuinuka kuchukua maji unywe unaogopa kana kwamba ukirudi kitandani inakua j3[emoji30][emoji30]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah kwa hyo leo unakula usingiz
Zile ndoto huwa tamu,,wet dreamz
Zile ndoto huwa tamu,,wet dreamz
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] al asir hii bhana,,unaona sasa,,punguza kuota ndoto[emoji23][emoji23][emoji23]unazingua,maghrib hii kaongee na Muumba
Sent using Jamii Forums mobile app