Makapuku Forum

Ukitoa uhusika wao katika "Empire" katika maisha halisi, Ni Mke Na Mume halali kabisa kwa Ndoa.
na kwenye Empire ni mtu na mama yake
 
Wengi mnamjua kama "Jamal Lyon" katika Series ya "Empire" Bonge moja la Vocalist, Na naweza kusema ni mmojawapo ya Watu kama Ukimtoa Cookie na Lucious Basi Jamal Anafuata Kwa kuwa ndio Roho Ya Empire.... Akitoka Mmojawapo kati ya Hao, Waandaaji Watapata Tabu Kidogo. .
.
But katika "Series" tunamuona Kacheza Kama Shoga... Ishu ni Ukweli au Ni Maigizo tu...?? .
.
Jibu, Yes Ni Kweli SHOGA, ukiachana Na Maigizo unayoona.

Daah nilikuwa sijui kama nje ya Empire Jamal ni shoga na uhandsome wote huo jamaniiii
 
Kuna watu mpaka leo watakua Hawajui kuwa, Katika Filamu ya "The Last King Of Scotland " Yule mwanamke aliyekuwa Mke wa "Idd Amin" ambae Dr Nick Alikwichi kwichi nae na ikatokea Disaster Ya Hatari kuwa alikua ni "Kerry Washington "......Kama Ulijua Upo vizuri, Kama Hukujua Basi Ndo Ujue Sasa....!!
.
Ukitazama Hizo picha Vizuri nini Umekipata Hapo? Sorry kama Hujawahi tazama hiyo Filamu na Humjui Kerry, Sio mbaya Utakuja Kumjua Hapa Hapa .... Ya mwisho Ndo Kerry Ambae Unaweza Kukutana Nae Sasa Barabarani.
 
Kwa mujibu wa Waandishi, Jerry ndiye mwenye tabia mbaya na Tom ana tabia nzuri. Chaajabu Wengi humuona Tom ana tabia mbaya na Jerry nzuri (Vice Versa).
.
Fahamu Hili Pia, Tom n Jerry Rasmi ilianza kuruka February 10 mwaka 1940 na Kumalizika rasmi September 8 mwaka 1967 ikiwa na Shorts 164 maana Tulikuwa Tufupi fupi sana, Dakika 5 mpaka 10.
 
Mwenyewe simpendi jerry
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…