Aisee duh
Dege la mizigo Boeing 707 likiwa limevamia makazi ya watu karibu na jiji la Tehran, mhandisi mmoja wa dege kati ya wenzake 15 amepona (Picha nimeitoa BBC).
Ulimo
Yapo vizuri, tunapambana nayo tu....nashukuru mdau, siku zinasonga taratibu na maisha yanaendelea. Hoping uko vizuri kabisa
Mtoto ameshakuwa mkubwa?[emoji41][emoji41][emoji41]
Sio ningendako ni shululu....usicheke, tuma mzigo aunt Shunie aupate maana ningendako aliahidi humu ndani
Shikamooo mjomba
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] kheri nawe
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] kheri nawe
Ulipotelea wapi shangazi alikuwa anakutafuta
Vyema ulifurahi na familia yakoMimi hapa,Xmas hii sina papuchi![emoji4][emoji4][emoji4]