Jifunze kujitegemea, epuka utegemezi kwa watu. Ni tabia ya baadhi ya watanzania kutojifunza kujitegeme kwani unakuta mtoto wa kiume mwenye umri wa kribani 27 bado anaishi nyumba moja na wazazi huku akilishwa kama mtoto mdogo na pengine kama ana biashara anaiendesha kwa msaada wa mzazi wake na hivyo kufanya biashara akijua hata akipata hasara mzazi atamsaidia na wengine hukaa nyumbani hadi wazazi wanaamua kuwaanzishia biashara lakini kwa kawaida biashara hizo hufa kwani wazo la biashara linatakiwa litoke ndani ya moyo wake na si kutoka kwa mtu mwingine.
Mama acha kabisa kuflirt sasa hivi kwa sababu hadi sasa hivi umeshanibadilishia baba zaidi ya mara kumi na moja!!me nimeacha kuflirt jamani
Mama acha kabisa kuflirt sasa hivi kwa sababu hadi sasa hivi umeshanibadilishia baba zaidi ya mara kumi na moja!!
...hii idadi ni ya kikosi cha kwanza cha timu ya soka. Duh, kwa hiyo mama huyu ni kocha au kocha mchezaji au msajiri?
....
Mama acha kabisa kuflirt sasa hivi kwa sababu hadi sasa hivi umeshanibadilishia baba zaidi ya mara kumi na moja!!
Nko hapaNjoo nikujanjaruee
Vp hbr ya leo princeDear umelala
...hii idadi ni ya kikosi cha kwanza cha timu ya soka. Duh, kwa hiyo mama huyu ni kocha au kocha mchezaji au msajiri?
....
Shwari kabisa