Duh!!Kumbeee??!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wewe ni chizi la kike walahi!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wewe ni chizi la kike walahi!
Rafiki don't leave me please, i have nowhere to go![emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenichoka rafiki yako.
Ngoja nilale mie niwahi namba kesho kuwa na usk mwema na mbebezi wako mkumbatie vyema[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una undungu na pilipili mcRafiki don't leave me please, i have nowhere to go![emoji24][emoji24][emoji24]
Asante sana mdau. Koroshow sasa hivi ukienda kudai utasema unaenda vitani maana wanajeshi wamevaa gwanda kabisa wanakuuliza cheti cha uhakiki hata kama jina wanalo. Me bado wamesema watahakiki upya maana nimeuza kilo nyingi sana wanadhani labda mimi ni mzee wa kangomba kumbe wala, nalima kisasa
Rafiki don't leave me please, i have nowhere to go![emoji24][emoji24][emoji24]
Wana hasira za kubangua kwa meno[emoji38]
We endelea kuvuta subra mijihela yaja.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji15][emoji15][emoji15]hivi vilio vya watu wazima wanasemaga ni uchuro [emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuwe na wiki njema wadau, wiki nzuri kabisa kwa sababu shule zimefunguliwa na barua ya mwalimu mkuu kwa mzazi inataka mtoto aripoti shuleni na bank slip kwamba umelipa ada nzima
...afu mtu mzima mwanaume, ila kama anakulilia wewe basi simlaumu. Ana moyo wa nyama
Barikiwa nawe pia,
Sema hapo mwisho wa sentence dah [emoji36][emoji36]
Sent using Jamii Forums mobile app
...acha tu, shule zenyewe zinaitwa ingilishi midiamu, hata kuwapiga kiswahili unashindwa maana ni speak ingilishi mwanzo mwisho, watakuvisha liswahili speaker bureππππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwakua mie nnakua ndo boss wao kwa wakati huo lzm niongee kimasai kwa mbwembwe kbs na lzm watafute mtafsiri kwa gharama zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
...ha hahahaha, hata kama utaongea Kibarbaig kama hauna bank slip utakutana na mhazina toka Kenya au India, lugha gongana utasikia anakuambia veve mama yoyoyoo iko nalipa mbesa ndo toto yako Naitapuaki itaingia class
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwamba ongea yote fanya yote lkn bank slip ndo muhimu??
Ngoja nimalizie usingizi kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app