Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Mh!...ha hahahahhaha, hebu msaidie mmoja japo awe naye kwa mkopo! wewe first eleven imekamilika kwenye jifanye kama umekuwa mwema sana umpatie mmoja sikukuu ikiisha basi unarudisha kitu kwenye himaya yako kama kawaida. anko Lyon Lee ndo anafanyaga hivi
Mtongozaji kwenye ubora wako....nataka tu nijue maana ilitokea bahati mabaya yule albino wa pale Buguruni alinikataa kisa anafahamiana na anko wangu? Au nimuulize Lyon Lee
Asante kaka angu uwe na kaz njema[emoji23][emoji23]
Kwema dada ake??
Nikutakie siku njema
Nambie
husna wewe me nimekumissHabariyo?!
Na mie nmekumiss kivuruge wetuhusna wewe me nimekumiss
tako lako,nani kivuruge ngoja nirudi nyumban utanikoma leoNa mie nmekumiss kivuruge wetu
Ha ha haMtongozaji kwenye ubora wako
Shukran sana,,,uko poa lknAsante kaka angu uwe na kaz njema
Shukran sana,,,uko poa lkn
tako lako,nani kivuruge ngoja nirudi nyumban utanikoma leo
Safwii tu
Kumekuchaaaa salamaaa
Mtongozaji kwenye ubora wako
Mkuu jiwe yuko wapi?Namiss sana "je wajua na shangazi shunie shunie"!!