Asee hata sizijui hizi ni mpya au? Wale wakuiitwa wazee sugu Mzee king kikii anapiga muziki bado?
Au pale salender bridge Kilimanjaro band bado wako?
Hahahahahahahah sio kweliNipo na mjomba
SawaaaaKheeeee tena anao wawili ujiandae kulea
Kaka ake mm ,,natakiwa nijueMjombaaa mchokoziiii wewe
Ukinunaa ndo unapendeza kinomaaa
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41] jiwe huyu jiwee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nn kutoa siri za ukoo mjomba,,ili nisipate mahali kaka ake
Mkuu,,unajua faini yetu kama wana ukoo lkn??Ameteuliwa kwangu ngoja aje tuone
Hahahahahahahah sio kweli
Aisee,,
Hahahaha ,inabidi siku hy nami nije kukuona ukicheza mduara ,bado wapo pale pale ?Hapo kwenye Kilimanjaro njenje umenigusa ebu siku niende nikacheze mduara mm mpaka chini
Sawaaaa
Hahahaha ,inabidi siku hy nami nije kukuona ukicheza mduara ,bado wapo pale pale ?
Hahaha hawaniwez wale,,niko vzr mjomba mara zote kwan mkizima nani huwa anawakingia kifua mjomba??au unataka kusahau kuwa mm ndio huwa kila kituKamati ya roho mbaya ila leo tumekusaidiaa unelidundwaaa na wawilii wotee
Hahahaha, maneno mazuri sana haya.Ukipenda boga upende na ua lake
Nmebadirika shangazi,,??Naziona kazi zao zinavyofanya kazi ulikuwa haupo hivi
Ndiooo sio unampenda mwanamke tu mpende na anaowazungukaHahahaha, maneno mazuri sana haya.
Basi nisamehe ,sitofanya hivyoWapo pale pale palm beach unions tena ugundue nn we mzee