Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Na naniiii etiii
Mary huyooo mlikuwa wapi nyie mnaingia wote
Mary huyooo mlikuwa wapi nyie mnaingia wote
Aulize tu jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo sio mzeeTranscend tushakutana hapooo ila hatukujuaana ila nilimdakaaaaa
Kweli usikute sio mzeeNmeandikaa tusii nikalifutaaa
Eeenh uulize tu
Mkuu jifanye kama unajikuna hivi uongeze neno lingine la nyegezi hapa ili mimi nilisindikize na video![emoji1][emoji1][emoji1]Unazenguaaaaa
Hahahahahahahahahah na mpenziii wa kunyoaa jumapiliiiii uskuuu...na kinyoziii wako ata kama utamkuta ana folen unamsubiriaa japo kuna mwingine ndan ya saloon [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nacheka mm halafu usikute unatuektia tu hapa huna uzee wowote
Kwahiyo sio mzee
Huyo wa samaki samaki atakuwa Transcend anapapenda sana hapo kama ya mliman city lakini
Hapana mie ni muzee umri kdg umeenda
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Unatembea na roho yangu [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] nakupenda wewe tu peke yako
Mkuu jifanye kama unajikuna hivi uongeze neno lingine la nyegezi hapa ili mimi nilisindikize na video![emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji2089][emoji2089][emoji2089]Kuna madogooo kwa mujibu wa marbaby sasa utawapevushaa mapema
[emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji134][emoji134]kubadili mwezi si inaruhusiwa. ,?
Naanza mchakato nipige 105
Ni kweli kijana, umri mie umeenda ,kuniita Mzee uko sawa Kabisa ,wala hukosei ,ila napenda ujanaAta kama unaact ila navosoma maandishii yako yanaoneshaa uzee
Ni kweli kijana, umri mie umeenda ,kuniita Mzee uko sawa Kabisa ,wala hukosei ,ila napenda ujana
[emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]