Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,223
- 39,930
Haitumiwi hivyo though
Haitumiwi hivyo though
Usiwe na hofu mukuu nimetulizana, nimestafu vyuraNajua baby
Inatumiwaje?Haitumiwi hivyo though
Ah mwenzio nimesubiri sana bana, Vp umeshaweka mtungini hiyo Togwa? Ulanzi na Mbege Baadaye nikate kiu kwanza.Umejuaje???
Chagua mbege au togwa??
Au ulanzi ???
Mimi sikuelewi!Hiyo ni direct translation from Swahili
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Muite na ras simba
....we ni mndengereko nini???....una manenooMuite na ras simba
....we ni mndengereko nini???....una manenoo
Mzaramo mie, mixer na mkwere....we ni mndengereko nini???....una manenoo
Usingekuwa una 4 sale bagsMzaramo mie, mixer na mkwere
Ningekuwa na nini?Usingekuwa una 4 sale bags
....cooking for....Ningekuwa na nini?
Kitu kipo tayari kinavuja jasho yaani cha baridiiiiAh mwenzio nimesubiri sana bana, Vp umeshaweka mtungini hiyo Togwa? Ulanzi na Mbege Baadaye nikate kiu kwanza.
Tatizo ni nini???