Hahahahaha sasa hawa wanatuletea mambo ya jamal,,sijui kafanya nn
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hawajui utamu wa muvi za kutafsiriwa HahahahahahahahNilikuwa nmesahau jiara[emoji23][emoji23]Vp kwema jiran?
Hahahaha watajulia wapi hawa,,[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hawajui utamu wa muvi za kutafsiriwa Hahahahahahahah
Kwema jirani yangu wewe je
Hahahaha watajijua..Hahahaha watajulia wapi hawa,,
Huku kwema pia,naona unafanya maandaliz ya kwenda shamban
Hahahaha njoo jirani,,huu ndio muda wake wa kwenda kulimaHahahaha watajijua..
[emoji3][emoji3]Ndiyoo jirani nije nikupitiee?
Shikamoo mdogo wanguMmmmmmmmm yawapi haya tenaaa???
Usinichoke jiwe jamaniSasa ndio nataka kupotea mazima ole wako nikuone WhatsApp unaniletea habari za makapuku
Furaha ya kumuona jiweBinamu hicho kicheko kinaashiria nini?
Jiwe ktk ubora wake[emoji123] [emoji123] [emoji123]Woyooooo haya kuanzia leo abj anaitwa mama obe
Mshakunakuuuu wanguu mpambe nuks za asbhNmesahau binamu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahh.... Ila jirani ebu nitoe ushamba mwenzio tena ninong'oneze ikiwezekana, jiwe ndo nani? [emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]..telemundo ndo nini? Unaiangalia inapita kwa road au kwenye TV?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahah Siyo masihara jirani wewe, nani atakutengua sasa akati me niko mwenyewe
Kwahiyo aloomba wimbo ndo jiwe[emoji3]?
Shikamoo mjomba yao watuHahahaha, asee
Sasa naanza kuelewa hizi lugha zenu vijana ,za uteuzi na utenguzi , kilele na kileleni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unataka umpelekee korosho...unakaa mtaa gani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kaharibika huyo jamaniSitaki kuamini kama ni wewe baba wawili ninayekupenda ndio unanisnitch khaaaa
[emoji23] [emoji23]....akikujibu nitag tafadhari my telemundo