Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
English si ulisema ulifaulu?Nini maana ya pupil
English si ulisema ulifaulu?Nini maana ya pupil
Terms and condition![]()
Rudi kafute vizuri
Haijatoka
![]()
![]()
![]()
..........
Chakula ya kukuUnaalika binti date halafu anakuja
na maringo,ety oooh!,"...babe hata
ctakula nikitoka home nilipitia TILAPIA HOTEL
nikala kuku..."
We na ugentleman wako unamnunulia
whiskey ya Jack Daniel 50000' baada ya binti wa watu kunywa mafundo kazaa anatapika makande na mahindi ya kuchoma walai,,,sa
hapo ndio inabidi umuulize romantically"...swry!uko sure ulikula
kuku au ulikula chakula cha kuku?.
Wakati ulishamaliza na kufauluKwa hiyo mimi ni mwanafunzi wa shule ya msingi hiii shidaaa
Welcome backWooow!! Nmerudi tena baada ya kutoka kifungoni..
Nko free sasa
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Salute
No kaniambia kwamba ni mwanafunzi wa shule ya msingi wakani pupil ni mwanafunzi basi auWakati ulishamaliza na kufaulu![]()
![]()
Watu wana utani na wewe
Mchana mwema na kwako pia kaka akeYou can teach me speak Swahili,
Likes sawa sawa mambo vipi,![]()
#aje
Mchana mwema humu ndani
#Aje.You can teach me speak Swahili,
Likes sawa sawa mambo vipi,![]()
#aje
Mchana mwema humu ndani
Asante dadaMchana mwema na kwako pia kaka ake
One loveAsante dada
Pipo humu ndani ni sheederMy wii mwenzio Nimecheka loudly, watu wamehc nakuwa kachizi kadogo
Hatari sana#Aje.
Jamaa ni nomaaaa.
Lakini salamaaHatari sana
Salama kabisa. Naona furahi dayLakini salamaa
HahahahaNo kaniambia kwamba ni mwanafunzi wa shule ya msingi wakani pupil ni mwanafunzi basi au
Wenyewe wanasema TGIFSalama kabisa. Naona furahi day
TGIFWenyewe wanasema TGIF