Makapuku Forum

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka kwa sauti mm binamu umeshapata msamiati mpya

...mimi ulivyosema telemundo nikaona imekaa kimalavidavidavi hivi na kwa kuwa namzimia mtoto basi nikamtunuku.

Hapa sasa kuna wale wazee wa fitna wanaweza kupata kitu cha kufanya nikaachika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…