Makapuku Forum

Salama kabsa jirani,,binamu yangu anakuficha sana ,,,au ndio mnatumia mapesa ya koroshow kimya kimya

...umeanza kufanya ramli chonganishi. Kwa karibu mwaka mzima sasa nasema hela hatujalipwa, korosho wananunua wanajeshi, wametuambia tusubiri tutalipwa. Mimi ni nani nikadai kwa nguvu. Jamani hebu muwe na huruma kidogo basi
 
Nimecheka sanaaa yaani sana mpaka machozi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…