HahahahahChaguo la Madame S kwa his one and only ningendako na wengine wote tuseme congfuckulation kwa wapendwa wetu hawa na tufurahie wimbo huu.
NB: neno sahihi ni congratulation, simu yangu bado sijaizoea sana, ni mpya
Hah ha ha ha kwa TA hakuna shida ,,jiko mapema tu tunalichukua binamu...ha hahahah, ila kwa safari ya TA basi usihofu sana maana huko ni mambo ya Anjari na biryani tu unachukua jiko
Hahahahah
Binamu aiseeee!!
Shukran kwa wimbo!
asante Obe ndio nauona sasa hiiviChaguo la Madame S kwa his one and only ningendako na wengine wote tuseme congfuckulation kwa wapendwa wetu hawa na tufurahie wimbo huu.
NB: neno sahihi ni congratulation, simu yangu bado sijaizoea sana, ni mpya
Sawa love!!
Tuwe na usiku mwema na wenye njozi nzuri!!!
Allah atulinde na atuepushie na mabalaa ya usiku.
Alamsik[emoji120]
Nakuwona...jirani [emoji6]Sawa bby!!Nichukue nafas hii nikutambulishe kwa ndugu yangu capitalpool shemej
capitalpool popote utakapomuona Madame S bhas usisite kumjulia hali,,shemej yko
Shkamoo shangazi
Huruma utatoa lakini sio kifwala[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Kwani hujawahi toa sadaka au hisani kwa mali unazomiliki? Kuna muda huruma kifwala pia inatakiwa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Karibu Sana jisikie upo nyumbaniAlright[emoji110]